[caption id="attachment_47567" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya.[/caption]
[caption id="attachment_47569" align="aligncenter" width="750"]
Wananchi wa Ilonga wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.[/caption]
[caption id="attachment_47571" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilonga mkoani Songwe.[/caption]
[caption id="attachment_47572" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kiwanda cha kukoboa Kahawa cha GDM Limited kilichopo Mlowo Mbozi mkoani Songwe.[/caption]
[caption id="attachment_47573" align="aligncenter" width="750"]
Wananchi wa Ruanda wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.[/caption]
[caption id="attachment_47575" align="aligncenter" width="750"]
Wananchi wa Mlowo wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. (Picha na Ikulu)[/caption]