[caption id="attachment_45352" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la numaradan isim sorgulama Butimba mkoani Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_45353" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi fedha mmoja wa Afisa Mwandamizi wa Magereza ACP Shaku Umuya Umba kwa ajili ya kununulia ngombe watatu na magunia ya mchele 15 ili Wafungwa, Mahubusu na Askari hao wapike na kula pamoja.[/caption] [caption id="attachment_45354" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakati akitokea Gereza la Butimba.[/caption] [caption id="attachment_45356" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia. PICHA NA IKULU[/caption]