Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Apokea Hati za Mabalozi 9 Wanaowakilisha nchi zao hapa nchini Ikulu Jijini Dar es salaam
Jan 28, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50531" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno hapa nchini mwenye makazi yake nchini Msumbiji Maria Amelia Maio De PAIVA katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_50532" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Singapore hapa nchini mwenye makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong mara baada ya kuwasilishha Hati zake za utambulisho.[/caption] [caption id="attachment_50534" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Singapore hapa nchini mwenye makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong mara baada ya kuwasilishha Hati zake za utambulisho[/caption] [caption id="attachment_50535" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Alex Chua katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_50536" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ufilipino hapa nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Alex Chua mara baada ya mazungumzo yao na kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption]

(PICHA NA IKULU)

       

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi