Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Afungua Jengo la NHIF na Kuhutubia Mamia ya Wananchi Wa Jiji La Mbeya
Apr 26, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42466" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo wa Bima ya Afya Anna Makinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo hilo.[/caption] [caption id="attachment_42468" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia na kuwashukuru wananchi wa Mbeya waliokusanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili.[/caption] [caption id="attachment_42473" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.[/caption] [caption id="attachment_42478" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa na wananchi wengine akifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi