Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Azungumza na Wananchi wa Kongwa Mkoani Dodoma
Jul 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45418" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Kongwa mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma[/caption] [caption id="attachment_45428" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Baba mzazi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai yaliyopo Chimotolo Kongwa mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_45427" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakishangilia wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia.[/caption] [caption id="attachment_45426" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai mara baada ya sala fupi iliyofanyika katika eneo hilo[/caption] [caption id="attachment_45425" align="aligncenter" width="750"] . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa kidini wakati akiondoka katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai katika eneo hilo la Kongwa mara baada ya kuweka shada la maua.[/caption] [caption id="attachment_45424" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anazungumza na Spika wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa Job Yustino Ndugai wakati akitoka kuweka shada la maua katika kaburi la Baba mzazi wa Spika Mzee Yustino Ndugai katika eneo la Malalo ya ukoo wa Ndugai.[/caption] [caption id="attachment_45423" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia.[/caption] [caption id="attachment_45420" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kongwa mkoani Dodoma mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi