Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Pamoja na Mkewe Washiriki Ibada ya Kusimikwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mkoa wa Mbeya
Apr 28, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42522" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.[/caption]   [caption id="attachment_42527" align="aligncenter" width="750"] Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiongoza Ibada ya kumsikima Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya katika Ibada iliyofanyika katika uwanja waS okoine Jijini Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_42525" align="aligncenter" width="750"] Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa amekaa kwenye kiti wakati Ibada ya kusimikwa kwake ikiendelea katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_42523" align="aligncenter" width="750"] Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa ameketi kwenye Kiti cha Uaskofu pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa Katoliki nchini[/caption] [caption id="attachment_42532" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikusanya Sadaka kwa waumini mbalimbali waliokusanyika katika uwanja wa Sokoine katika ibada ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga . PICHA NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi