[caption id="attachment_47894" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia walioshika utepe, Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, Waakilishi wa Umoj wa Ulaya nchini (EU) Waakilishi wa Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) akifungua mradi wa uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.[/caption]
[caption id="attachment_47895" align="aligncenter" width="750"]
Sehemu ya Miundombinu ya uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa ambayo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo mjini Sumbawanga.[/caption]
[caption id="attachment_47896" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha ya kuchorwa yenye taaswira yake wakati akiondoka katika uwanja wa Nelson Mandela mara baada ya kuwahutubia wananchi. (Picha na Ikulu)[/caption]