Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Akagua Ujenzi Daraja la Mto Mara, Ahutubia Wananchi wa Nyamongo
Sep 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34939" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamongo mkoani Mara wakati akitokea Mugumu Serengeti.[/caption] [caption id="attachment_34941" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Kijiji cha Nyansura wakiwa tayari kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) mara baada ya ukaguzi wa mradi wa daraja la mto Mara lenye urefu wa mita 94 linalounganisha katika ya Wilaya ya Serengeti na Tarime mkoani Mara.[/caption] [caption id="attachment_34942" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.[/caption] [caption id="attachment_34943" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.[/caption] [caption id="attachment_34944" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Daraja la mto mara mita 94 ambalo ujenzi wake unaendelea na litaunganisha kati ya katika ya Wilaya ya Serengeti na Tarime mkoani Mara.[/caption]    

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi