[caption id="attachment_48100" align="aligncenter" width="683"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe za Kilele za Mbio za
Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019[/caption]
Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali wakati wa sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi.
[caption id="attachment_48101" align="aligncenter" width="750"]

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wengine wakiserebuka na Msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ama Konde Boy kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019[/caption]
[caption id="attachment_48095" align="aligncenter" width="750"]

Mwenge wa Uhuru mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kupokea kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka huu Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019[/caption]
[caption id="attachment_48096" align="aligncenter" width="750"]

Kikundi cha utamaduni cha Dege la Jeshi kikitumbuiza kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo.[/caption]
[caption id="attachment_48105" align="aligncenter" width="750"]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Naibu Kamishna wa TAKUKURU Brigedia Jenerali john Mbungo ripoti aliyokabidhiwa na kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa wakati wa hotubia yake kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019[/caption]