Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Afungua Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma.
Dec 18, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25204" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Karume alipowasili katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_25205" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM unaofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_25206" align="aligncenter" width="800"] Wageni Waalikwa katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_25207" align="aligncenter" width="800"] Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo leo Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_25208" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia Mkutano Mkuu wa CCM wa Tisa wakati wa ufunguzi wake katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma leo.(Picha na Ikulu Zanzibar)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi