Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Afungua Mkutano Mkuu wa 33 wa ALAT
Oct 03, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_16552" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”.[/caption] [caption id="attachment_16555" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akisisitiza jambo mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”.[/caption] [caption id="attachment_16558" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Suleiman Jaffo akisisitiza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”.[/caption] [caption id="attachment_16561" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Gullamhafeez Mukadam akisisitiza akiwasilisha salama za Jumuiya hiyo mbele ya mgeni rasmi Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”.[/caption] [caption id="attachment_16564" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwasilisha salama za Mkoa wake mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”.[/caption] [caption id="attachment_16565" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Isaya Mwita alipowasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNIC) kwa ajili ya hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”.[/caption] [caption id="attachment_16566" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kikundi cha ngoma alipowasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNIC) kwa ajili ya hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”.[/caption] [caption id="attachment_16567" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea mabanda ya wadau wa Tawala za Mitaa alipowasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNIC) kwa ajili ya hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16568" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Gullamhafeez Mukadam wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya YA Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) Suleiman Jaffo.[/caption] [caption id="attachment_16569" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wajumbe wa ALAT wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya hiyo leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_16570" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa ALAT kutoka mikoa mbalimbali baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ardhi Kwenye Mamlaka ya Serikali za Mitaa ni Chachu ya Maendeleo, Halmashauri Zitenge Ardhi kwa Ajili ya Uwekezaji wa Viwanda Vidogo na Vikubwa”. (Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi