[caption id="attachment_46088" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46089" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wakati nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Afrika Kusini zikipigwa katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46090" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_46086" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuelekeza jambo Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46087" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimueleza jambo Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kumpa zawadi ya Kinyago cha mpingo Ikulu jijini Dar es Salaam[/caption]