[caption id="attachment_34844" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa,Ikulu ndogo,Nansio Ukerewe,Mkoani Mwanza. Septemba 5,2018.[/caption]