Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Chifu Mkwawa, Iringa
Feb 17, 2015
Na Mhariri

[caption id="attachment_90" align="aligncenter" width="1333"]Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga, Februari 16, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya wa
Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa
mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu
Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu
Mkwawa, Kijiji cha Karenga, Februari 16, 2015[/caption] mk6 [caption id="attachment_110" align="aligncenter" width="2000"]Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu
wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa Kijiji cha
Karenga Februari 16, 2015.[/caption] mk8

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi