Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Shein Atoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
May 26, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_1711" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan leo tarehe 26/05/2017 kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla na kuwatakia kheri katika mwezi huo, pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi ikiwemo kusoma Quran, kuswali hasa swala za Suna na kutoa zaka.(Picha na Ikulu - Zanzibar).[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi