Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Shein Afungua Barabara na Kituo cha Afya Kisiwani Pemba.
Feb 25, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40821" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Barabara ya Kuyuni hadi Ngomeni kulia Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mwaboya, uzinduzi huo umefanyika leo akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba[/caption] [caption id="attachment_40822" align="aligncenter" width="1000"] Muonekano wa barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka kiyuni hadi ngomani Wilaya ya Chakechake Pemba[/caption] [caption id="attachment_40823" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba Dr.Mohammed Faki Saleh, akiwa katika moja ya vyamba vya Kituo cha Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake baada ya kukifungua Kituo hicho leo,25-2-2019[/caption] [caption id="attachment_40824" align="aligncenter" width="1000"] Muonekano wa Kituo cha Afya cha Magomeni kilichozinduliwa leo Kisiwani Pemba[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi