Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Samia Afunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Kitaifa Mkoani Geita
Oct 13, 2024
Rais Dkt. Samia Afunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Kitaifa Mkoani Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia mfano wa uchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu wakati wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia kazi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliyofanyika mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu hatua mbalimbali za upokeaji na uuzaji wa madini ya dhahabu katika Soko Kuu la Dhahabu Geita mara baada ya kuwasili mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024. 
Muonekano wa Soko Kuu la Dhahabu Geita lililopo mkoani Geita. 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi