Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa EU Nchini Tanzania
Dec 07, 2023
Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa EU Nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Martin Seychell alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo 7-12-2023, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Zanzibar
Na Administrator

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Bw. Martin Seychell mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo 7-12-2023.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Bw. Martin Seychell (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Bw. Martin Seychell, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi