Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa "Global Fund" Ikulu Zanzibar
Jun 10, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa “Global Fund” kutoka Geneva Bw. Linden Morrison, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-6-2022, akiongozana na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa “Global Fund” kutoka Geneva, Bw. Linden Morrison, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-6-2022, akiwa na ujumbe wake