Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe .Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mjane wa Marehemu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Salim Turky, Bi.Tamima Swaleh, alipofika nyumbani kwake Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja leo.14-1-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe .Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Sukwa Said Sukwa Mwanasiasa Mkongwe wa Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Maungani kwa mazungumzo na kumjulia hali yake