Rais Dkt. Mwinyi Ashuhudia Utiaji Saini Ujenzi wa Bandari Mpya ya Malindi Zanzibar
Jan 20, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpya ya Malindi ambayo itakuwa ya kitalii pamoja na mji wa kisasa katika eneo la Bwawani Mjini Zanzibar.akisaini, kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar, Nahaat Mahfoudh na kushoto ni Bw. Mohamed Al Taooq alisaini kwa niaba ya Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman