Rais Dkt.Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Kikosi Kazi cha Rais Samia Ikulu Zanzibar
Apr 21, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, Profesa Rwekaza Mukandala akizungumza na kutoa maelezo wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-4-2022