Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza Katika Masuala ya Biashara
Apr 20, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara, Bw. Lord Wanley, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake (kulia kwa Rais), Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara, Bw. Lord Wanley akiwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe David Concar alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.