Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi
Apr 28, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiakizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Mhe.Humphrey Polepole (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo Aprili 28,2022.