Rais Dkt. Mwinyi Afungua Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika
Jun 27, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Baadhi ya Washiriki katika Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akitoa hutuba yake ya Ufunguzi leo kwa washiriki hao katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.
Jaji wa Mahakama ya haki Afrika Mashariki, Mhe,Jaji Nestor Kayobera alipokuwa akisema machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Kufungua Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hotuba yake ya Ufunguzi wa Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar, (kutoka kulia) Jaji wa Mahakama ya haki Afrika Mashariki Mhe, Jaji Nestor Kayobera, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe,Haroun Ali Suleiman na Jaji Mkuu Mteule, Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla.