Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Ziaranai Wilaya ya Nkasi
Oct 09, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47967" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya barabara ya Sumbawanga-Kanazi yenye urefu wa kilometa 75 iliyozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana Oktoba 8,[/caption]   [caption id="attachment_47969" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Namanyere Nkasi mkoani Rukwa mara baada ya kuwasili akitokea Sumbawanga.[/caption]   [caption id="attachment_47971" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugora mara baada ya kuhutubia wanachi wa Namanyere Nkasi mkoani Rukwa[/caption] [caption id="attachment_47972" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mama Felista Mkombo baada ya kuamuru ofisi za Mkjuu wa Wilaya na Mkuu wa Polisi Wilayani Nkasi kumpa shillingi milioni 15 kama fidia ya kuibiwa ng'ombe zake 25 Mjini Namanyere wilayani Nkasi.[/caption] [caption id="attachment_47973" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kijiji cha Chala wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa akiwa njiani akitokea Sumbawanga jana Oktoba 8, 2019[/caption] [caption id="attachment_47974" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma mango kabla ya kuikata utepe kuzindua barabara ya Sumbawanga-Kanazi mkoani Rukwa jana Oktoba 8, 2019[/caption] [caption id="attachment_47975" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia wananchi wakijiandikisha katika daftari la mpinga kura eneo la Nkomolo Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa jana Oktoba 8, 2019. Akitoa maelezo kushoto ni Katibu Tawala Msaidizi wilaya ya Nkasi Bw. Albinus Mugonya.[/caption] [caption id="attachment_47976" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akituza vijana wa kwaya ya JKT walipotumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara Mjini Nyamanyere wilaya ya Nkasi Mkoa wa Rukwa jana Oktoba 8, 2019.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi