Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli na Mkewe Washiriki Ibada ya Jumatano ya Majivu
Feb 26, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51201" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51204" align="aligncenter" width="750"] Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt. Alister Makubi wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020.[/caption] [caption id="attachment_51203" align="aligncenter" width="614"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kuhudhuria Misa ya Jumatano ya Majivu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam leo Februari 26, 2020[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi