Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Azungumza na Wananchi wa Kiwira Pamoja na Kufungua Kiwanda cha Maparachichi Kilichopo Rungwe Mkoani Mbeya
Apr 29, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_42571" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Uyole nje kidogo ya jiji la Mbeya wakati akiwa njiani kuelekea Wilayani Rungwe.[/caption] [caption id="attachment_42572" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Uyole nje kidogo ya jiji la Mbeya wakati akiwa njiani kuelekea Wilayani Rungwe.[/caption] [caption id="attachment_42573" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kiwira Wilayani Rungwe wakati aliposimama kuwasalimia.[/caption] [caption id="attachment_42574" align="aligncenter" width="800"] Wananchi wa Kiwira wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John PombeMagufuli katika eneo hilo.[/caption] [caption id="attachment_42575" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine wa Mkoa wa Mbeya, Mawaziri, Wabunge akikata utepe kufungua kiwanda cha Maparachichi cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_42577" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi pamoja na wananchi katika eneo la kiwanda[/caption] [caption id="attachment_42578" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mashine maalumu ya kuangalia ubora wa maparachichi katika kiwanda cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi