Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Azindua Pasipoti Mpya ya Tanzania ya Kielektronikia
Jan 31, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_28263" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akionesha kwa furaha passipoti yake mpya ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018. Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto kwa Waziri ni Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala.[/caption] [caption id="attachment_28264" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akionesha kwa furaha passipoti yake mpya ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_28265" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiiangalia kwa furaha passipoti yake mpya ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_28266" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea passipoti yake mpya ya kielektronikia kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_28267" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akipokea pasipoti yake mpya ya kielektronikia kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_28268" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania akionesha kwa furaha passipoti yake mpya ya kielektronikia baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_28270" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sahihi kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_28271" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisubiri hatua inayofuata baada ya kuweka sahihi kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_28274" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukuliiwa alama za vidole kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_28275" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Dkt. Peter Makakala akielzea hatua mbalimbali za upatikanaji wa passipoti mpya ya Tanzania ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_28277" align="aligncenter" width="750"] Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akichukuliiwa alama za vidole kwa ajili ya kujipatia pasipoti yake mpya ya kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_28278" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Maafisa waandamizi wa Uhamiaji wakipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa kwenye sherehe za uzinduzi wa pasipoti mpya ya Tanzania kielektronikia makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi