Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Awaapisha Dkt. Wilbroad Slaa na Muhidin Mboweto kuwa Mabalozi.
Feb 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_28856" align="aligncenter" width="595"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Wilbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018

[/caption] [caption id="attachment_28855" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi