Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais dkt. Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam
Jan 21, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39892" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_39893" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption]   [caption id="attachment_39894" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Angela Kairuki kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_39891" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 21/01/2019 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi