[caption id="attachment_38127" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mazungumzo.[/caption] [caption id="attachment_38129" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia kabla ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38130" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38131" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38132" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa mkongwe John Shibuda ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38133" align="aligncenter" width="703"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38134" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe wa Chama cha UDP John Cheyo Ikulu jijini Dar es Salam.[/caption] [caption id="attachment_38135" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe wa Chama cha UDP John Cheyo Ikulu jijini Dar es Salam.[/caption] [caption id="attachment_38136" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38137" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38138" align="aligncenter" width="732"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mfanyabiashara Rostam Aziz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_38139" align="aligncenter" width="718"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mfanyabiashara Rostam Aziz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU[/caption]