[caption id="attachment_30570" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara Dkt. Juma Ngasongwa walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kuwajulia hali wagonjwa jana.[/caption] [caption id="attachment_30571" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Celestine Bulima walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam kuwajulia hali wagonjwa jana.[/caption] [caption id="attachment_30572" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam Profesa Mohamed Janabi walipotembelea taasisi hiyo kuwajulia hali wagonjwa jana.[/caption] [caption id="attachment_30573" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli nakiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam Profesa Mohamed Janabi walipotembelea taasisi hiyo kuwajulia hali wagonjwa jana. (Picha na IKULU)[/caption]