Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Ahutubia Taifa Kwenye Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Jijini Mbeya
May 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42631" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe Jenista Mhagama na viongozi wa Wafanyakazi wakishuhudia maandamano ya wafanyakazi wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo Jumatano Mei 1. 2019[/caption] [caption id="attachment_42632" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe Jenista Mhagama na viongozi wa Wafanyakazi wakishikana mikono na kuimba wimbo wa MSHIKAMANO (Solidarity Forever) wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo Jumatano Mei 1. 2019.[/caption] [caption id="attachment_42634" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Taifa wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi leo Jumatano Mei 1. 2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi