Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Afungua Miradi Minne ya Maendeleo na Kuhutubia Wananchi
Jul 24, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Kulia kwa Mh Rais ni Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Kulia kwa Mh Rais ni Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, akifuatiwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora, Igunga na Nzega Julai 23,2017.[/caption]  

[caption id="attachment_7367" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara baada ya Mh Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Miji wa Tabora, Igunga na Nzega Julai 24, 2017.[/caption] [caption id="" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana Mkono na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mara Baada ya Ufunguzi wa Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora[/caption]  
[caption id="attachment_7369" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akipata maelezo ya Mradi Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Uwanja huo Mhandisi Neema Joseph kushoto kwa Mh Rais ni Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa[/caption] [caption id="" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akifungua kitambaa kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24, 2017[/caption]  
[caption id="attachment_7371" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24, 2017[/caption]

Habari Mpya

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi