Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Azindua Hospitali ya Taaluma ya MUHAS Kampasi ya Mloganzila
Nov 25, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23379" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa akielezea ujenzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila wakati wa ufunguzi wa hospitali hiyo mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_23380" align="aligncenter" width="967"] Makamu wa Rais Samia Suluhu akizungumza na wananchi wa Mloganzila wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_23384" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Bwana Song Geum Yong akisoma hotuba yake kwa Kiswahili fasaha na baadaye kupongezwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kampasi ya Mloganzila leo. Hospitali hiyo imejengwa na kampuni kutoka Korea Kusini[/caption] [caption id="attachment_23381" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mloganzila wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_23382" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila mapema hii leo.[/caption] [caption id="attachment_23383" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Mloganzila mara baada ya ufunguzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila mapema hii leo.
Picha : MAELEZO[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi