[caption id="attachment_36308" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ubelgiji hapa nchini Peter Van Acker Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36309" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa wa Ubelgiji hapa nchini Peter Van Acker mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36310" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36311" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Balozi wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen kabla ya kuanza mazungumzo mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36312" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36313" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36314" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36315" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36316" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Palestina hapa nchini Hamdi Abuali Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36317" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Palestina hapa nchini Hamdi Abuali Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36318" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Palestina hapa nchini Hamdi Abuali mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36319" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait hapa nchini Mubarak Mohammad Alsehaijan mara baada ya kupokea Hati zake Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_36320" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Kuwait hapa nchini Mubarak Mohammad Alsehaijan mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga.[/caption] [caption id="attachment_36321" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga mara baada ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa mabalozi wa nchi tano watakaowakilisha nchi zao hapa nchini, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)[/caption]