[caption id="attachment_42649" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wakati wa Maadhimisho sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa, ambapo amewatoa hofu wafanyakazi na kuwahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi kulingana na uwezo wa Serikali[/caption] [caption id="attachment_42650" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba na wafanyakazi wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_42651" align="aligncenter" width="1000"] Wafanyakazi wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_42653" align="aligncenter" width="1000"] Maandamano ya Wafanyakazi yakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_42654" align="aligncenter" width="1000"] Maandamano ya Wafanyakazi yakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_42655" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiongea wakati wa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanayofanyika Mkoani Mbeya Kitaifa.(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO)[/caption]