Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Aongoza Kikao cha 11 cha Baraza la Taifa la Biashara
Mar 19, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_29303" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_29304" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Viongozi wa serikali na wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_29305" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Joakim M hagama na kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel[/caption] [caption id="attachment_29306" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Dkt. Reginald Mengi alipowasili kuendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo[/caption] [caption id="attachment_29307" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Joakim M hagama na kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Dkt. Reginald Mengi akijiandaa kufungua mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_29309" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Pro. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa kikao cha Kumi na Moja cha baraza hilo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_29311" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_29310" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti Mwenza wa Baraza la Taifa la Biashara ITNBC) Dkt. Reginald Mengi akizungumza katika mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_29313" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya wafanyabiashara wakitoa changamoto zao wakati wa mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam le.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi