[caption id="attachment_42821" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Heshima wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Zanzibar Mhe. Abdulsamad Abdulrahim, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar, katikatika Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe.Antonio Augusto Cesar.[/caption] [caption id="attachment_42822" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akifurahia jambo wakati akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha na mazungumzo leo 7-5-2019.[/caption] [caption id="attachment_42823" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania.Mhe. Antonio Augusto Cesar alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,7-5-2019[/caption] [caption id="attachment_42824" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania.Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,7-5-2019[/caption] [caption id="attachment_42825" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Mlango (Zanzibar Door) Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo,7-5-2019.[/caption]