[caption id="attachment_5185" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu mjini Unguja leo.[/caption] [caption id="attachment_5188" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Haji Kali alipokuwa akitoa mchango na kuelezea maendeleo wakati wa kikao cha siku moja cha uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira na uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka hiyo ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kikao hicho kilichofanyika leo Ikulu mjini Unguja.[/caption] [caption id="attachment_5189" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira na uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu mjini Unguja.(Picha na Ikulu.)[/caption]