[caption id="attachment_14686" align="aligncenter" width="750"]
Naibu Spikà Mhe.Dkt. Tulia Ackson akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Michezo na Ngoma za Asili yajulikanayo kama Tulia Traditional Dances Festival yanayofanyika mjini Tukuyu Wilayàni Rungwe Leo tar 21 Sept 2017
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akisalimiana na Mhe.Riçhard Ndasa Mbunge wa Sumve wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Michezo na Ngoma za Asili yajulikanayo kama Tulia Traditional Dances Festival yanayofanyika mjini Tukuyu Wilayàni Rungwe Leo tar 21 Sept 2017.
Naibu Spikà Mhe.Dkt. Tulia Ackson akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel wakicheza ngoma pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Michezo na Ngoma za Asili yajulikanayo kama Tulia Traditional Dances Festival yanayofanyika mjini Tukuyu Wilayàni Rungwe Leo tar 21 Sept 2017[/caption]