Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

PPRA Yapongezwa Uanzishaji wa Mfumo wa Manunuzi wa Kielekroniki
Feb 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40452" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40454" align="aligncenter" width="814"] Mwakilishi wa Bodi ya Udhamini ya Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Nimrod Mahozi wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40455" align="aligncenter" width="906"] Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leornard Kapongo akitoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Manunuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40456" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu(wapili kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.Kutoka kulia ni Mwakilishi wa Bodi ya Udhamini ya Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Nimrod Mahozi, Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leornard Kapongo, Katibu wa Baraza la PPRA, Martine Sapanjo na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo Bi. Maria Mng’ong’o.[/caption] [caption id="attachment_40457" align="aligncenter" width="768"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu akionyesha vitendea kazi vya Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) mara baada ya kuzindua rasmi baraza hilo leo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Mwakilishi wa Bodi ya Udhamini ya PPRA, Nimrod Mahozi, Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leornard Kapongo, Katibu wa Baraza la PPRA, Martine Sapanjo na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo, Bi.Maria Mng’ong’o.[/caption] [caption id="attachment_40458" align="aligncenter" width="955"] Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leornard Kapongo akiwakabidhi vitendea kazi Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa PPRA, Martine Sapanjo na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo, Bi.Maria Mng’ong’o wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Manunuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40459" align="aligncenter" width="967"] Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Martine Sapanjo(wapili kushoto) na Katibu Msaidizi wa Baraza hilo, Bi.Maria Mng’ong’o wakionyesha dhana zao za kazi mara baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leornard Kapongo (katikati) wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu(wapili kulia) na Mwakilishi wa Bodi ya PPRA, Nimrod Mahozi.[/caption]   [caption id="attachment_40461" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa PPRA wakati wa uzinduzi wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Taasisi ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma. (Picha na Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi