Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Picha za Waziri Mkuu Bungeni Aprili 25, 2018
Apr 25, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30916" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30918" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (katikati) na Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30919" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya El Shadai ya mjini Dodoma kwenye viwanja vya bunge, Aprili 25, 2018. Wapili kushoto ni mwalimu wa Shule hiyo, Vincent Kawilima.[/caption] [caption id="attachment_30920" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. Kutoka kushoto ni Dkt, Raphael Chegeni wa Busega, Danstan Kitandula wa Mkinga, Venance Mwamomoto wa Kilolo, Mussa Sima wa Singida Mjini na Mbunge wa Kuteuliwa Abdallah Bulembo.[/caption] [caption id="attachment_30921" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30922" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi