[caption id="attachment_14526" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akielezea jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka mji wa Foshan China na Watazania jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya wafanyabiashara 20 kuangalia fursa za uwekezaji nchini kufuatia mafanikio ya Kiwanda cha Good One kinachotengeneza vigae. Kauli mbiu ya semina hiyo ni “Kukuza Tanzania na Usanifu wa Makampuni”[/caption]
[caption id="attachment_14527" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu wa Serikali ya mji wa Foshan nchini China Bw. Lai Zi Ning akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka mji wa Foshan China na Watanzania yenye kauli mbiu ya “Kukuza Tanzania na Usanifu wa Makampuni” iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Kulia ni wawakilishi wa Kampuni ya Good One Bi. Winnie Mollel[/caption]
[caption id="attachment_14530" align="aligncenter" width="750"] Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Biashara za Kimataifa la Kamati ya Foshan China (CCPIT Foshan) Bi. DENG Xiangwen akisisitiza jambo kuhusu nia yao ya kuwekeza nchini Tanzania wakati wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka mji wa Foshan China na Watanzania yenye kauli mbiu ya “Kukuza Tanzania na Usanifu wa Makampuni” iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni wawakilishi wa Kampuni ya Good One Bi. Winnie Mollel na Bi. Lillian Wu.[/caption]
[caption id="attachment_14533" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akiteta jambo na Naibu Katibu wa Serikali ya Foshan Bw. Lai Zi Ning wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka mji wa Foshan China na Watanzania iliyokuwa na kauli mbiu ya “Kukuza Tanzania na Usanifu wa Makampuni” jana Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_14534" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akishuhudia utiwaji saini mkataba wa makubaliano ya kibiashara baina Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Biashara za Kimataifa la Kamati ya Foshan China (CCPIT Foshan) Bi. DENG Xiangwen na Meneja wa Kampuni ya Bordar Ltd Bw. Wu Yahui jana Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_14535" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akimkabidhi zawadi ya picha Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Biashara za Kimataifa la Kamati ya Foshan China (CCPIT Foshan) Bi. DENG Xiangwen wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka mji wa Foshan China na Watanzania iliyokuwa na kauli mbiu ya “Kukuza Tanzania na Usanifu wa Makampuni” jana Jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_14536" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka mji wa Foshan China na Watanzania uliokuwa na kauli mbiu ya “Kukuza Tanzania na Usanifu wa Makampuni” wakiwa katika mkutano huo jana Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija[/caption]