[caption id="attachment_50999" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Robert Mtengule akiongoza kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_51000" align="aligncenter" width="976"] Mkuu wa Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini Ofisi ya Masajili wa Vyama vya Siasa, Eleuter. Mazome akizungumza wakati wa kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma. Kulia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Robert Mtengule.[/caption] [caption id="attachment_51001" align="aligncenter" width="1000"] Afisa Usimamizi wa Fedha(FMO) kutoka Wizara ya Fedha na Mipango,Bw. Ezekiel Odipo ambaye pia ni Msimamizi wa Dawati la Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa akichangia mada wakati wa kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_51002" align="aligncenter" width="1000"] : Baadhi ya wajumbe Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya Mwaka 2020/2021 toka ofisi hiyo wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na MipangoBw. Robert Mtengule (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_51003" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mapitio ya Makadirio ya Bajeti ya Mwaka 2020/2021 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) toka Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Robert Mtengule (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_51004" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mapitio ya Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) na Wizara ya Fedha wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Robert Mtengule (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.Kikao hicho kimehusisha wajumbe kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wizara ya Fedha na Mipango. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa - ORPP)[/caption]