Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Nguza Viking na Familia Yake Wamtembele na Kumshukuru Rais Dkt. Magufuli
Jan 02, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26060" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.[/caption] [caption id="attachment_26061" align="aligncenter" width="750"] Mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.[/caption] [caption id="attachment_26062" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" ambaye pamoja na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.[/caption] [caption id="attachment_26063" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mwanamuziki Nguza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Johnson Nguza "Papii Kocha' walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.[/caption] [caption id="attachment_26064" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa kashikana mikono huku wakiomba dua na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.[/caption] [caption id="attachment_26065" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa kashikana mikono huku wakiomba dua na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.[/caption] [caption id="attachment_26066" align="aligncenter" width="750"] Mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu wakiondoka Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 baada ya kumuona na kumshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.[/caption] [caption id="attachment_26057" align="aligncenter" width="710"] Rais Dkt John Magufuli akiwa ameshikana mikono na kuomba dua na Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Dkt. Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi