Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Nditiye Akagua Maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Bandari Kavu, Kwala Vigwaza
Oct 18, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36978" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) akipitia ramani ya mpangilio wa matumizi ya eneo la bandari kavu, Kwala mkoani Pwani wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa bandari hiyo. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Uhandisi, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Charles Ogare[/caption] [caption id="attachment_36979" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (aliyesimama katikati) akipata maelezo kuhusu maendeleo ya mradi wa ujenzi wa bandari kavu, Kwala mkoani Pwani kutoka kwa Mkurugenzi wa huduma za Uhandisi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Charles Ogare (anayetoa maelezo). Wa kwanza kulia ni Meneja wa Mradi huo kutoka SUMA JKT, Raymond Kweka[/caption] [caption id="attachment_36980" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa bandari kavu, Kwala eneo la Vigwaza mkoani Pwani. wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Uhandisi, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Mhandisi Charles Otare na wa kwanza kulia ni Meneja wa Mradi huo kutoka SUMA JKT Raymond Kweka[/caption] [caption id="attachment_36981" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa bandari kavu, Kwala kuhusu eneo la njia ya reli itakayoingia bandarini humo wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa bandari hiyo mkoani Pwani. Wa kwanza kulia Kaimu Meneja wa Badari ya Dar es Salaam, Fred Liundi na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Uhandisi, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Mhandisi Charles Ogare[/caption] [caption id="attachment_36982" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa eneo linaloandaliwa kujenga njia ya reli kwa ajili ya kusafirisha mizigo inayoingia na kutoka bandari kavu, Kwala mkoani Pwani wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani) ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi