Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

NBS Yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa Kuwajengea Uelewa Wanafunzi Dodoma Sekondari
Jun 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44596" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Stambuli Mapunda akizungumza na Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44597" align="aligncenter" width="900"] Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bibi. Mariam Katemba akiwasilisha mada kuhusu matokeo ya hali ya maambukizi ya Ukimwi kwa vijana mbele ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44598" align="aligncenter" width="1000"] Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Seif Kuchengo akiwasilisha mada kuhusu Sensa mbele ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44599" align="aligncenter" width="1000"] Mwanafunzi wa Kidato cha Nne, Shule ya Sekondari Dodoma, Bi. Najma Mussa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya kuwajengea uelewa wa masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44600" align="aligncenter" width="1000"] Mwanafunzi wa Kidato cha Nne, Shule ya Sekondari Dodoma, Hassan Hamis Hassan akiuliza swali wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa wa masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44601" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.[/caption] [caption id="attachment_44602" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.[/caption] [caption id="attachment_44603" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma wakiangalia vitabu walipotembelea Maktaba ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya kuwajengea uelewa wa masuala ya Takwimu yaliyoandaliwa na NBS ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma leo jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi