Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Kwandikwa Akutana na Ujumbe wa Bodi ya AFDB
Aug 28, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34525" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akifafanua jambo kwa Ujumbe wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), uliofika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma, leo, kupata taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo.[/caption] [caption id="attachment_34526" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Steven Dowd, akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa na viongozi wa Wizara ambao wamekutana katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma, leo, kupata taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo.[/caption] [caption id="attachment_34527" align="aligncenter" width="750"] Ujumbe wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), uliofika katika Ofisi za Wizara ya Ujenzi jijini Dodoma, leo, ukimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa wakati akitoa Taarifa ya miradi mbalimbali ya Ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo.[/caption] [caption id="attachment_34528" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) uliofika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma, leo, kupata taarifa ya miradi mbalimbali ya ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo.[/caption] [caption id="attachment_34529" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) pamoja na viongozi wa Wizara hiyo jijini Dodoma, leo, ambapo Ujumbe wa Bodi ya AfDB ulifika katika Wizara hiyo kupata taarifa ya miradi mbalimbali ya ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo. Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi